Recent content by MADOTTO

  1. MADOTTO

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Karibu sana, anytime ndugu.
  2. MADOTTO

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Hongera nawe kwa unae export.Point ya msingi tuwape watu tastings sahihi na tuache upotoshaji wenye lengo ovu.
  3. MADOTTO

    Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    5m? Jamani tuache wadanganya watu.Mie nalima Mwendokasi(Yellow Habanero) nipo Mbezi Msumi-Na kwa yeyote anaetaka kujifunza namkalibisha bure bila malipo yoyote.Na soko Kubwa kwa Dar ni Kigogo Sambuza ikifatiwa na Ilala na Stereo.Tuache watisha watu kwa taarifa zizizo sahihi.
  4. MADOTTO

    Dawa ya mchwa katika majani ya ukoka

    Mkuu tunasubili mrejesho wako.
  5. MADOTTO

    Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.

    Mkuu Paschal, hii ni 2019/2020 uchaguzi time.Wacha tupewe peremende kwani tumezoea kisha tutakuja pokea kanga na vitenge then imetoka hiyo tukutane 2021 business as usual...hakuna cha kuwa anabadili wala nini.
  6. MADOTTO

    Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?

    Mkuu naona kama umeyumba, Magufuri asamehe kwa kosa gani alilifanya Lema? Unataka kumaanisha kuota ni Kosa? Kama kusamehe tunapaswa mpongeza Lema kwani pamoja na kuwekwa mahabusu kwa miezi yote ile bado amekuwa na moyo mkuu, mkakamavu bila kuonyesha kinyongo chochote. Au mkuu na wewe ni miongoni...
  7. MADOTTO

    Kwa niliyoyaona BRELA leo naomba tuitafute CAG report ya BRELA (kama ipo)

    Mwanzo mlisema Frank hawezi kazi na mkasema alipewa badala yake ndio sahihi, yako wapi sasa?
  8. MADOTTO

    Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

    CHADEMA kimepoa kwa kupunguza siasa za uanaharakati ambazo mzee Lowassa alikuwa anashauri hilo sana, amini nakuambia Magufuri anatakiwa kupambana na uanaharakati,na Lissu yuko vizuri sana hapo.
  9. MADOTTO

    Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

    Mkuu Paschal Zitto ni mzuri ila kwa mtu kama Magufuli anaitaji siasa kama za Lissu, siasa zenye kuamsha hisia kali(Rejea bunge la katiba jinsi Lissu alivyokuwa ana ongea ambayo watu walikuwa wanadhani hayaongeleki. Vilevile kumbuka siasa ni watu, yes Zitto anao watu ila siwa kutosha, Lissu na...
  10. MADOTTO

    Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth!

    Andika ili anapaswa alisome Joshua Nassari kisha aendelee na mipango yake.
Back
Top Bottom