Si kila chuo kiliundwa kuwa chuo kikuu mimi navyojua, hivyo suala la vyuo kukua na kuwa vyuo vikuu mi binafsi siliafiki kwa sana pamoja na uchache wa vyuo tulivo navyo....
Bora kuanzisha vyuo vikuu vipya, kwa style hiyo hata Tambaza iatendelea kukua toka Sekondary ya kawaida, high school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.