Recent content by Madewa

  1. M

    Kwanini vitabu vya dini vilikataza baadhi ya wanyama kuliwa?

    Je, wajua kuwa nyama ya nguruwe ndiyo nyama inayoliwa kwa wingi kuliko nyama nyingine duniani?
  2. M

    Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Sidhani na sina uhakika kuwa kutengeneza App ni kazi ndogo...lazima ujiandae vyakutosha!
  3. M

    Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Kwa ninachokijua mimi mpaka sasa...mafanikio ni jambo pana sana...kuwa na nyumba na gari ni sehemu tu ya mafanikio...wapo wenye magari na nyumba lkn hawana watoto, wapo wenye magari na mali nyingine nyingi, ila wanaumwa...wapo wenye watoto wengi na familia zenye furaha ila hawana hayo magari na...
  4. M

    Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

    Aisee we jamaa, nakuelewa unachokisema, ila kuna wanawake wanawaudhi waume zao, hawana shukrani hata kidogo, maneno ya kuudhi na kuvunja moyo, mwanaume anajitahidi kumjali kwa kadiri anavyoweza, mwishowe anaambulia matusi... mwishowe anaona isiwe shida,anaamua kaka zake kimya!
  5. M

    Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

    Hapo umesikiliza ya upande mmoja ukatoa 50k, je unayafahamu ya upande wa pili wa mwanaume...jitahidi ujue kabla ya kutoa hukumu!
  6. M

    Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

    Piga service hiyo gari, utapata better fuel consumption kuliko ya sasa...
  7. M

    Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Tengeneza kwanza then uza...
  8. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Inawezekana sana...Mimi Carina Si, highway napata 15km/litre...
  9. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Subaru Legacy

    Soma tena maelezo yake kwa umakini kidogo...magari mengi kwenye fuel consumption yako rated kwa 100km... Kama imeandikwa 16km/l, hiyo iko direct
  10. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Kuwa na gari haimaanishi kuendesha kila siku n kila mahali...ukizoea kuwa na gari utanielewa ninachomaanisha Mkuu...japo mtazamo wa jamii ni tofauti kabisa... naweza toka na gari, nikaenda kiwanja kikali, mfukoni nina 500 tu ya maji...
  11. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Tatizo ni pale unakuta mtu kila mahali anaenda na gari...nimeshazoea napiga hata wiki bila kuendesha gari...nikiwa na mishe ya kunilazimu kutumia gari, nawasha mashine inanirahisishia mambo...hivyo, ila siendeshi gari kila siku na kila mahali.
  12. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Suala ni matumizi tu...naweza weka mafuta ya 20k na mwezi uishe...naendesha wikiendi tu...
  13. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Sio kweli, gari ni matumizi yako...hata mafuta ya laki 2 unaweza yamaliza kwa siku moja...acheni kumtisha mwamba...
  14. M

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Ni kweli kabisa...sio lazima kila unapotoka utoke na gari, weka bajeti yako ya mafuta kwa mwezi, ishi nayo...kuwa na gari haimaanishi una pesa, cha msingi pata gari nzuri, isiyosumbua.
  15. M

    Msaada: Toyota Raum steering wheel ina vibrate

    Awe makini pia akiendelea kuendesha gari tairi zinawezakulika upande...
Back
Top Bottom