Recent content by MADELU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Singida: Mgana Msindai amlipua Dewji

    Amesema hafanyi shughuli za Kimaendeleo kama Mbunge, yupo busy na shughuli zake za kibiashara. Hawasaidii hata CCM. Ukiangalia hata attachment tunajiuliza. Kuna sehemu nyingi watanzani tulifanya makosa katika Uchaguzi ila Singida Mjini kweli walibugi Step, wakachagua Kijana mwenye magari na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

    Ana wiki mbili tangu ahamie NCCR Mageuzi, hajasoma Katiba aielewe, tayari ameanza kumtangazia Zitto nafasi ya kuwa Mgombea Urais kupitia Chama hicho. Naona anafanya kazi yetu vizuri maana tulimtuma CHADEMA, lakini huko dili limeungua, kijana huko fanya vema. Mkakati wa kuwatumia vijana wa NCCR...
Back
Top Bottom