Recent content by Maddox madox

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza muziki Dodoma?

    Natafuta shule, Chuo au mwalimu wa muziki Dodoma. Mafunzo yawe siku za weekend tu kutokana na ratiba ya masomo
  2. M

    JamiiForums Tanzania KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA JAMII (voluntary opportunities needed)

    Mimi ni Kijana wa kiume Umri Miaka 21. Nachukua sheria nikitarajia kuingia mwaka wangu wa pili katika Chuo kikuu Dodoma. Kwa sasa nipo mlandizi mkoa wa pwani nikifanya field itakayoisha Trh 15 mwezi huu Natafuta mahali ambapo nitajitolea kufanya kazi za kijamii mpaka mwishoni mwa mwezi wa 10...
Back
Top Bottom