Recent content by Madammmony

  1. Madammmony

    JamiiForums Tanzania Kukojoa mara kwa mara

    Habari wapenzi! Umri wangu miaka 29 nina tatizo la kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku yaani siku nyingine naweza aamka hata mara nne kwenda kukojoa na hii hali ni tangu utotoni. Mama yetu alikuwa anatuwekea "bobo" (kopo la kukojolea) ndani na ni karibia familia yetu yoote ipo hivyo kuamka...
  2. Madammmony

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Busara itumike
Back
Top Bottom