P
one sana bt
Pole sana bt jambo la kuacha kazi siyo maamuzi ya busara sana hasa ukiwa umekatisha mkataba wako mwenyewe Jaribu kuongea na wakuu wako vizuri huenda waliokuja wamekuzidi level ya elimu bt still mshahara haukupaswa kushuka. Ila usije ukaacha kazi kwa msukumo au maamuzi ya hasira...
Kwa mtazamo wangu,inawezekana CHADEMA au vyama pinzani kwa kujali kustahili lawama kwa kukwama kwa baadhi ya mambo kwani wao ndio wapinzani na wanachotakiwa ni kuipa challenges serikali wao kama wapinzani
Hapo serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kuongeza mapato,maana mtanzania mwenye kipato cha chini ndo anaumia zaidi mfano umetoa hela kwenye cm umekatwa kodi, unaenda kupanda gari stand kubwa unalipa kodi haya na kama unashikia stand kubwa pia unalipa kodi,hata kama tutafuta maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.