Recent content by madahatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kwa kanuni ya kioo,alichokisema Kubenea ndiyo chake,yeye ndiye msaka tonge.Hawezi mfanana Zito,zito anafanya na anaishi siasa.Kubenea akusanye na atunze vizuri hii miaka mitano arudi kwenye magazeti yake.Asijisahau akadhani ndo mlo wa milele akute magazeti yamejaa vumbi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Angelina Mabula apiga bonge la pati kusheherekea uwaziri, tulikunywa kula na kusaza

    Majungu ya kukosa ty,hamna lolote,roho zenu za korosho.Mwacheni atumie akiba zake kama hamjui kudunduliza kwa malengo mfuateni awape shule.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka na serikali, nani wa kulaumiwa?

    Ndugu kuendesha serikali kunahitaji akili pana zaidi ya hii uliyotumia kuandika tungo hii ndeefu. Shukuru kuwa sasa wameingia watu wanaoweza kufuatilia hata hayo yanayoonekana kero.Usisahau hata wewe ulikuwepo muda tu hayo yakiendelea,hujawahi kupaza hata kisauti kiduchu- sasa mwacheni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Unasubiri nini,tathmini nzuri ni ya kila kigezo,baadaye mwishoni majumiusho.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Mlizoea kuona ndugu zenu ni viongozi ndo mnapata raha kuwa kuna serikali,ni mbaguzi kweli maana safari hii kakuwekeni kando.Na kwa kanuni ya kioo hicho unachosema juu yake ndiyo kikichomo nafsini mwako.Safari hii waliobaguliwa nanyi wamechukuliwa,japo hawakuumia kama unavyoumia wewe sasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaomsifia Rais Magufuli kufukuza fukuza watu hawana sifa za kuajiriwa

    Hawa wamepagawa,hawajui hata tofauti ya kusimamishwa na kufukuzwa.Maadamu mioyoni wanajua waliyoyafanya ndiyo maana kusimamishwa tu wameshagundua kinachofuata ni fukuzwa.Na ni rais yupi asiye na mamlaka hadi watu wa chini yake wampuuze ki hivyo kama si jeuri ya vijisent walivyoficha huko nje, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaomsifia Rais Magufuli kufukuza fukuza watu hawana sifa za kuajiriwa

    Kigezo cha kumpima kiongozi hakiwezi kuwa kimoja tu,tena si vya mtu mmoja,viwe vilivyokubalika na wote.Hapa hatuwezi kumpima kipngozi kivyetu vyetu tutakosea.Cha muhimu tutoe maoni na wala si kutoa hukumu.Tunaoshabikia tunadhani amejiridhisha na uchunguzi aliofanya hadi kutimia madaraka yake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chekeleeni ya Magufuli, yatakujieni ya Hitler

    Acha woga wa bure,nadhani hujui ukatili wa hitler ulijengwa juu ya nadharia ipi.Ungejua usingefananisha na mwanzo wa magufuli. Kwa kuanzia nchi hii haina tofauti na chuma kilichopinda,msasa pekee utachukua karne kukinyoosha.Nyundo haiepukiki ili msasa uje ulainishe mambo. Na ujue nchi ni yetu...
  9. M

Back
Top Bottom