Recent content by MacksKayzee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    Wewe hujui unazungumza nini. Unataka uonekane unajua lakini hujui kitu. Malumbano yako haya tija kwangu. Wala kwa mtu yoyote, except your own ego which doesn’t benefit anyone except yourself. Wachie wenye uwezo wa kununua tufanye biashara. So back off buddy and give the thread a room.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    Kwa mwenye kutaka kunua gari kwa bei hiyo, basi mimi nakuhakishia kuwa hiyo ni best car kwa bei yake. Surely hutoweza kununua gari ya 2010 kwa bei hiyo. So hii ni best na efficient car, ukilinganisha gari zinazouzwa bei hiyo. You are more than welcome kuja kuikagua ili kuthibitisha ubora wake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    Right on the spot, uneniwahi kabla sijasema, sometimes mtu ukiwa huna maneno mazuri ya kusema/kueleza ni bora ukae kimya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    Hili gari sio chakavu (scrap) unavyo sema wewe, Gari hujalikaguwa utajuaje kama liko chakavu. Inabidi ujue kutafsutisha kati ya neno chakavu (scap) na ya zamani (old). Na umejuaje kama halina ufaninisi (not efficiency) bila ya kulijaribu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    Sasa hapa umekusidia kueleza nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 MAX

    RAV4 Max 1997 inauzwa Tsh 12,000,000 iko kwenye good condition. Ipo Zanzibar
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

    pc moja in ukubwa gani? kwa square metre
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makadirio

    Naomba kujulishwa makadirio ya kutia bati na Gypsum board kwenye nyumba ya 150sqm ni kiasi gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa RAV4 1997

    Mtu anaweza kuwasiliana nami kwa Whatsapp call. Malipo bei gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa RAV4 1997

    bei 12,000,000 ipo Zanzibar. Anaetaka wasiliana na mimi kwa WhatsApp call +447867768525
Back
Top Bottom