Recent content by Mackenzi

  1. Mackenzi

    Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

    Watanzania tupeane uzoefu wa kibiashara hadharani ndio tutafika malengo na maendeleo kwa mda mfupi sana..... Tusiwe wachoyo!! Mwenye uzoefu wa hizo mashine atupe hint kamili Gharama za kuanzisha Upatikanaji wa malighafi Masoko Na faida zake NAWASILISHA WAKUU
  2. Mackenzi

    Biashara ya viazi mviringo

    Nashukuru mkuu... Vipi kuhusu ambavyo sio vya umwagiliziaji?
  3. Mackenzi

    Biashara ya viazi mviringo

    Salam wakuu, Nahitaji kujua msimu wa viazi hua ni mwezi wa ngapi hasa? Msaada kwa wazoefu
Back
Top Bottom