Recent content by Mack84

  1. Mack84

    Jifunze kuhusu kilimo bora cha mazao. Maswali na ushauri inaruhusiwa

    Bila Shaka Mkuu karibu sana ujifunze
  2. Mack84

    Jifunze kuhusu kilimo bora cha mazao. Maswali na ushauri inaruhusiwa

    UTANGULIZI Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni...
  3. Mack84

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Tutatoboa kweli kwa Mghana maana naona katuacha mbali
  4. Mack84

    Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Hapana kwa mfano huku kwetu Mawakala wa Chadema wameruhusiwa saa 8 kuingia, wengine saa 2 wengine saa 5 n.k
  5. Mack84

    Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

    Watanzania kweli hatufuatilii mambo kwa umakini, Komu na Selasini wamebaki kuwa wabunge kwa sababu Chadema imejali maslahi mapana ya wananchi wa majimbo hayo! Ndo maana hawajawafukuza ili wabaki kuwahudumia wananchi lakini si kwa sababu ya Katiba. Katiba inasema mbunge akishafukuzwa uanachama...
Back
Top Bottom