Nimepitia baadhi ya machapisho kadhaa yakimzungumzia Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Ibara ya 74 (7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977: Kwa madhumuni ya utekelezaji bora wa majukumu yake yaliyoainishwa katika ibara hii, Tume ya Uchaguzi itakuwa ni...
Bado Siku 32, kufikia siku ya Uchaguzi Mkuu 2020 tarehe 28 oktoba, 2020.
Ibara ya 5(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977
Inasema;
Kila raia wa Tanzania aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane anayo haki ya kupiga kura katika uchaguzi unaofaywa Tanzania na wananchi...
Kwenye Kituo cha kupigia kura, kwenye kituo cha kuhesabia kura na kwenye kituo cha kujumlishia kura kutakuwa na Mawakala ambao huteuliwa na vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi huo.
Sasa unataka Uhuru gani?
#28oktoba2020
Kila mwananchi ana nafasi ya kupanga na kuchagua aina ya maisha anayotaka na hata maisha ya kizazi chake kijacho. Kwa Kupiga Kura ni nafasi yako ya kuchagua au kutetea Maswala unayohitaji kama vile, Afya, Elimu, Miundombinu nk. Kitendo cha Kupiga Kura ni sawa na kuamua au...
Mtoa mada kuhusu kutolewa kwa nakala ya fomu za matokeo ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ameamua kwa makusudi kupotosha maana halisi ya kifungu cha 79A(1)(e) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Kanuni ya 67(1)(b) ya kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2020...
Lakini hivi vyama si vina viongozi wake.
Sasa katibu wa wilaya au kata ana kazi gani kama hawezi kumsaidia mwanachama wake kujaza fomu ya kuhombea au nayeye hawezi, lakini pia kama sijakosea TUME ilitoa fursa kupeleka Fomu kuhakikiwa kabla ya tarehe ya Uteuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.