Recent content by Macbethm

  1. M

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Niongeze kitu kimoja ambacho watu wengi wanakipuuza kwenye hii biashara — upatikanaji wa wateja. Siku hizi watu wengi hawatembei sana dukani kuuliza bei kama zamani, wanaanza na simu au Google kwanza kuangalia options. Ndio maana hata hardware ndogo zinaanza kujaribu kuweka bidhaa zao online...
  2. M

    Fursa Kwa mafundi, clients na wauzaji wa vifaa vya Ujenzi......Kuna link kujiunga na sisi

    Idea nzuri nimeona pia kuna hawajamaa wanaitwa mjenzi.co.tz pia wanafanya kitu kama hiki, ila wao, wauzaji wa vifaa wanajiunga tu wenyewe kwenye website au app halafu wanaweka huduma zao au vifaa vya ujenzi, wateja wakiingia kutafuta bidhaa wanaweza kuwasiliana na muuzaji moja kwa moja. Nimeona...
Back
Top Bottom