Recent content by Macadamia nuts seedlings

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Wewe Kama unahitaji Miche sema, sio kuongea mengine changamkia fursa. Unajua Mimi nimeanza kufuatilia zao la macadamia nuts tangu lini? Acha kuongea mengine yasio na staha. Wenzako wanachangamkia fursa wewe unvyo zidi kuongea pumba. Piga namba hiyo hapo juu upate maelezo sahihi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Karibu Sana Miche nina andaa Mimi. Nipo mafinga, Miche imefanyiwa grafting na ni Aina ya macadamia inayostawi sehemu za baridi Kama NJOMBE, Iringa, Mbinga, Mbeya, Arusha, Bukoba nk. Mche mmoja nauza Tshs 9000 uliofanyiwa grafting, na Tshs 3500 kwa isiyo grafting. Leta oda yako sasa. Mimi pia Ni...
Back
Top Bottom