Namba nilipata baada ya kuifuatilia maana haikutolewa mwanzoni nikaambiwa ilifungiwa kisa majina yalikosewa nikamuuliza yule mdada akasma ni kweli walikoosea wao NIDA hayaendani na kwenye taarifa zangu nilizotoa
Hapo naona ikiwa kosa limefanywa na wao hakuna gharama sasa sijajua hata hivyo viambatanisho havihitajika ikiwa kosa lipo kwao, namimi kosa liko upande wa NIDA walifanya makosa wakati wa uandishi.
Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.
MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.
MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.