Habari zenu wana jamvi, mm nina degree ya Geografia na mazingira baada ya kufanya application nyingi na kuitwa kwenye usaili pasipo mafanikio nimekaa na kutafakari kuwa nisome postgraduate ya ila cfahamu inakuwaje na kwamba ukisoma ukimaliza huwa unapangiwa kama walimu au inakuwaje. kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.