Recent content by mabereka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya ajira mzigo kwa serikali:

    hawa tume ya ajira hawako fair,kama wanabase kwenye GPA,hivi hawa wenye lower second na pass wao wanastahili kufanya kazi sekta ipi?manake wanarecruit based on GPA,sasa wenye lower performance hawastahiii government,binafsi ni mhanga hata ktk interview hawaniit,Je tanzania sasa 2naweigh GPA ndo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania women bank

    3 weeks zimepita sasa,nafikiri watakuwa bado coz hawa jamaa wako fair sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa certificate mwanza

    jf,mimi ni binti nimemaliza certificate ya education niko mkoani mwanza,natafuta kazi kwenye shule yoyote nursery au primary iliyoko mwanza,niko competent ktk somo la english,history na kiswahili,nawakilisha kwenu jf mwenye msaada anisaidie kupata kazi.asanteni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada customer care NBC

    wadau nina interest ya kuaply credit officer NBC wadau mwenye kujua net salary anijulishe nilinganishe na NGO ninayofanyia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada customer care NBC

    wadau nina interest ya kuaply credit officer wadau mwenye kujua net salary anijulishe nilinganishe na NGO ninayofanyia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa 'bank officer' NMB ni kiasi gani?

    Wadau JF,kwa anayejua starting salary ya credit officer NMB anijuze pls nawaklisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Mhasibu wa uzoefu wa kuanzia miaka mitatu

    mkuu thankx .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Habari njema - Sensa

    wadau mh rais wakati anazindua matokeo ya sensa alisema kuna ajira zaidi ya 400 kwa ajiri ya kufanya tathimini ya sensa,hivyo nawasilisha kwenu wadau mwenye updates kuhusu tathmini hiyo itafanyika lini atupe taarifa,
  9. M

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    nashukuru kwa taarifa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    ok,mshahara wa teller mkombozi bank kwa graduate n kiasi gani? wadau,
  11. M

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    kwa mtu mwenye bachelor degree mdau.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara

    na basic salary kwa commercial bank za hapa bongo inarrange kiasi gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    wana jf,mwenye ufahamu juu ya gross na net salary ya bank officer cum teller anijuze wadau.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze mawaziri waliofanya vizuri mwaka 2012 na tuwashauri kwa 2013.

    bernad membe anastahili pongezi for 2012.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania women bank shortlist

    wadau asylam allekum,tanzania women bank nimepata tetesi watu wameanza kuitwa tangu ijumaa kwa interview nafasi ya teller na credit,mwenye info tujulishane wadau.
Back
Top Bottom