Recent content by Mabaki kju

  1. M

    BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

    Umenena mkuu naunga hoja mkono Mia kwa Mia,lkn viongozi hao bado wanafanya kampeni za chini chini waendelee Kuongoza mabaraza hayo,ningekuwa mjumbe SWALI la kwanza Kwao ni kuwa wameyafanyia nini mabaraza hayo mpaka sasa?
Back
Top Bottom