Nataka kujua gharama za ujezi choo cha aina hiyo napatikana shelui,Singida ,kama kuna expert yeyote aliyeko karibu na shelui anaweza nicheki WhatsApp 0742961750 tuzungumze.
Naomba kupewa ufafanuzi juu ya namna ya kuomba hizo nafasi za kazi za ualimu hususan kwenye attachment panel....hizo nakala za vyeti ni lazima zile certified? Ndo una upload ? Au mwenye uelewa na hili tafadhar na yule Mwl.wa daraja la IIIA chet chake anattach wap kama sijaona tafadhar mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.