Recent content by Maashine Yenyewe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya muda mfupi ya Medical laboratory technologist

    Habari wadau Mimi ni mtaalamu wa maabara ngazi ya Diploma na nina uzoefu wa kutosha katika fani hii. Naomba kazi ya muda mfupi(part time) kipindi hiki cha sikukuu kwa mwenye uhitaji au unayetaka kushikiwa nafasi yako kipindi hiki. Ni kwa Dar es Salaam pekee. Natanguliza shukrani. 0689 536 404
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chupa za plastiki

    Nina mazungumzo na wewe kaka dm tafadhali, kama bado unajishughulisha na hii biashara
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA AVS microprocessor controller used inauzwa

    Nipe Bei yako mkuu Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA AVS microprocessor controller used inauzwa

    AVS microprocessor controller used ipo Arusha Bei ndogo tu Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Autoclave used inahitajika

    Liter ngapi? Hiyo ni expensive sana nahitaji used ndugu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Autoclave used inahitajika

    Iwe mkoa wa arusha au moshi kama ipo mawasiliano kupitia namba 0763506458
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira maabara

    Naitwa Innocent mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ngazi ya diploma, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mweneye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458, asante
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira maabara

    Naitwa Innocent Mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ya binadamu, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mwenye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458. Asante
Back
Top Bottom