Recent content by Maan

  1. Maan

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Samia Imepwaya, ndio Sababu Mnafanya Mikutano Ya Ndani Kwenye Mahema!

    Tupia nyingine ili tumtukane vizuri mtoa mada
  2. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Mtani mbona kama mmekumbuka shuka kukiwa tayari kumepambazuka! Miaka yote 60 mlikuwa wapi tangu Uhuru hadi Leo?
  3. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Nahisi awamu hii itaandikwa historia katika hili mkuu
  4. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Mkuu Kila kitu kifanyike kwa utaratibu,pasipo janjajanja ya kuchezea karamu
  5. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Hahah ndugu yangu faizafoxy,kumbe upo!! Hahahahahaha.....kitambo sana kipindi Cha marelia sugu. Nimekumis sana mtani
  6. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Upo sahihi lakini hatuwezi kuungana na nguvu ya umma waziwazi pasipo nguvu ya umma kuwa na umoja ili ionekanike tumeelemewa. Tutapata sababu ya kuungana nap.
  7. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Shida watanzania tumejengewa hofu ndani yetu na woga kutoka kwa watawala. Ila Nina Imani wakina mdude na team nzima ya kutetea bandali watakuwa na mkakati Bora wa kutuunganisha.
  8. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Vipi kuhusu yule mwandishi aliyepotea kule kibiti hadi Leo,Nasikia alikuwa na Kila kitu kuhusu inshu ya kibiti
  9. Maan

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa ukaribu suala la Bima ya Afya. Mzigo ni mkubwa sana kwa Mtu kama Mimi

    Mkuu upo sahihi sana kwa mtazamo wako. Kiuwalisia mambo hayapo kama unavyo sema. Tuje kwenye field kwenyewe; familia Ina watoto wangapi,bila kusaahu familia nyingi za hali ya chini ndiyo zinaongoza kuzaliana. Hii yote tunatumia tendo la ndoa kama ni sehemu ya kupungizia stress,na ukija...
  10. Maan

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la tatu kuhusu DP World kwa wanasiasa

    Acha uwoga pu...vu wewe,tunahitaji watu jasili kipindi hiki katika kutetea na kupigania haki zetu
  11. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kuna sehemu nimeikuta,lakini kama tutakubali kukumbatia utawala wakifisadi yanatokea kama haya👇 Askari ni Adui namba moja wa Raia 1. Askari amemuua Mwangosi 2. Askari chini ya Zombe wameua wafanya biashara ya madini 3. Askari chini ya JPM wameua watu kwa kisingizio cha wasiojulikana Mbaya...
  12. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Wao wamewapa watu wa kuwapambania wakiwamo viongozi wetu tulio waamini serikalini na taasisi zilizo regerege ambazo hazina msimamo ambazo ni raisi kuzionga na kukaa kimya
  13. Maan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom