Upuuzi tu kuzima uhuru wa kuongea. Na ni ujinha wa kiwango cha PhD kwa serikali ya vyama vingi kuua uhuru wa vyombo vya habari
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Huyu ni mwamba na mimi nakubaliana na wewe.
Km tu aliziiba matrioli ya pesa tangu akiwa AICC hadi Richmond lakini hakuna alithubutu kutaifisha mali zake. Huyu mwamba wenu angekuwa China angekuwa ameshasahaulika kwa kunyongwa.
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza km anavyojitembeza...
Hakuna kitu kibaya watanzania wenzangu km Tamaa. Kinachomtafuna Zitto ni tamaa ya pesa na uchu wa madaraka km mtakumbuka yeye na January Makamba walikuwa wanapambana ili umri wa kugombea urais ushushwe hayo yote alikuwa anafanya kwa tamaa ya pesa na uchu wa madaraka. Sio kweli act ni wazalendo...
Sio hilo amenikumbusha mbali mpaka machozi.
Alishataifisha mashine ya kufulia nguo za wagonjwa Mount Meru Hospital. Sasa nawaza anavyozunguka huku na huko sio anatafuta cha kukwapua tena jamani huyu baba. Tuna uchungu sana na huyu Kinana mana ni zaidi ya jizi.
Na mimi niliwaza kitu km hiko nilipomuona kavua viatu analipa. Anamdanganya nani kwa dunia ya leo? Watz wanajua yupi yuko location na yupi anafanya ukweli.
Nawasikitikia wanaccm wanaoendelea kumuamini. Leo amekuja daraja la nadaare kata ya kisongo yani watu waliofika hawafiki hata ishiri waliojazana pale ni ule msafara wake basi. Hakuna kitu kila mtu yuko bize. Utadhani ni kikao cha dharura cha M/kiti wa kitongoji.
Sitta hana heshima yoyote kamwe asilani. Ameshazoea kuzomewa mana tuelewe tu kuwa sio yeye bali ni laana iliyo ndani mwake ndiyo ibayomtesa kwasasa..
Si lolote si chochote.
Unafiki wa Wakristo uko wapi? Acha udini wewe.
Viongozi wa Kikristo wanachokikataa ni katiba chafu itakayoleta mpasuko kwa waTz.
Wakristo nao wakitaka mahakama yao unadhanu nini kitafuata? Serikali yetu ibaki bila dini sisi sote ni ndugu.
Sifa kuubwa ya ccm ni Uoga. Fikiri mtu km Samuel Sitta tangu miaka ya 1970's ni mbunge mpaka leo. Kweli ndani ya ccm yenyewe wamkosa mtu wa kutoa? Yeye tu ndo anaweza,? Ujinga kabisa! Kwanini sasa mnamsema Rais wa Uganda na Rais wa Rwana na huyu mkongoman hata Mugabe? Wote ni walewale kasoro...
Napata shida sana kukufikiria km akili yako iko sawasawa au unahitaji kupelekwa milembe alooo. Miaka mingapi maccm yametuburuta hata yale ambayo yamefanyika kwa kodi za wazazi wetu wanasema yamefanya wao. Ooh poor waTz wenye fikra finyu km wewe. Ukweli unaujua kwanini unaupotosha? Mabadiliko...
Mnampiga chini na nani? Acha ujuha wewe. Utawaambia nini vijana,wazee na wamama kuhusu Lema wakakuelewa?
Cku hizi watu wanaujacri c wa kawaida kudai haki zao polic, mahakamani na hospitalini. Hayo yote ni kwasababu ya Lema. Wewe mwenyewe kimoyomoyo unasema bado cjaona km Lema hili ni Jembe...
Huu ndio mpango mzma hatutaki kuckia wala kuiona wametunyonya zaidi ya mkoloni. Serikali za mitaa ilikuwa ni message sent & delivery kwa ccm.
Yalivyo na akili ndogo bado yanamawazo Jimbo la Arumeru Magharibi watachukua wakati Chadema ndio inamiliki mamlaka ya mji mdogo.
Fagilia Chadema waa waa
Hebu nenda kamuulize Prof Magembe ameifanyia nini Tz na uprof wake akiwa Waziri wa maji?
Alichokifanya ni kuhakikisha vyanzo vyote na chemchem za maji zinakauka. Ni afadhali kuwa na darasa la saba mwenye ufahamu kuliko Prof mbulula wa ccm.
Nchi ya Israel haina hata chanzo chochote cha maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.