Mazungumzo yepi ambayo we unayataka labda? Ivi nikuulize swali ukifa katika maandamano ya UKUTA unaenda PEPONI au? Ebu tutumie akili kufanya mambo haya... Jiulize Mboe na Lowassa wanakuja kuandamana? Na je familia zao i,e watoto wao watakuwepo..? Kisha ukipata jibu nenda kapokee kichapo...
Nianze kwa kusema poleni sana wahanga wa tukio hilo. Mungu awape wepesi na subra ktk kipindi hiki kigumu. Lakini pia nadhani kuna baadhi ya wachangiaji humu ndani wamekuwa hawana hoja za msingi wao kila jambo hulipelekea ktk mambo ya SIASA. #swali ivi mambo ya UJAMBAZI yanahusiana vipi na SIASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.