Recent content by M6 Media Tz

  1. M6 Media Tz

    Tetesi za Usajili Ulaya

    Pamoja sana Mkuu
  2. M6 Media Tz

    Tetesi za Usajili Ulaya

    Chelsea wamefufua nia yao ya kumnunua mlinzi wa Sevilla ya Ufaransa Jules Kounde, 23, baada ya Manchester City kuamua kutomuuza mlinzi wa Uholanzi Nathan Ake, 27 kwa timu ya Thomas Tuchel. Matumaini ya Chelsea kumsajili Serge Gnabry wa Bayern Munich yamepata pigo baada ya mshambuliaji huyo wa...
  3. M6 Media Tz

    Majaribio ya VAR Kuanza Kutumika Leo Nusu Fainali Ligi ya Vijana

    Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa majaribio kwenye michezo ya Nusu Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya miaka 20 nchini Tanzania. “Kwa mara ya kwanza, kwa maana ya mashindano, kwa maana kama nchi...
Back
Top Bottom