Recent content by M4TYDACLEVER

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    tena mtam sanaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    haha haha acha kubisha dogo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    kama hauchezei visoda je? watu wanachea plastiki zilizotengenezwa kwacha mashine au vibao vilivyochongwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    aliyekula nissan yule aliye ingizwa king mwingine bado
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    kwahiyo wewe hua unatoka nay kete home za kuvisha?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    hautakiwi kugeuza unatakiwa kuvalisha sio kote wanatumia hivyo visoda vya kitoto
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    pamoja bro
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    utakutana nayo tu kama unatembelea vijiwe vya mafundi ila vijiwe vya wasiojua hawavalishi wanageuza visoda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    safi sana hata mimi nawapi nayo sana ambao hawajui ukimwambia valisha kwanza panachimbika na hiyo inatokana na kutokujua lakini baadae ukimwelewesha anakuelewa ndio maana uzi huu upo hapa kwa ajili ya kueleweshana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    kuna siku utakutana nayo hiyo scenario inatokea kwa kupigwa force.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    utakua hujawahi ona tu siku ukiona tutakua pamoja
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft na sheria zake

    ngoma iko hivi yeye anakupiga wewe force kukupeleka king, wewe utakula wakahuo yeye hajala kete hata moja, sasa ile king iliyo ingia anahitaji kuiua ili na yeye apate king! anakosa kete ya kukuvisha zoezi lake linakua limeshindikana. wewe umesema mtaalam lakin nashangaa unavyosema haiwezekan na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    british
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    pamoja man mimi mwenyewe kwereee
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    ufafanuz wako sasa juu yale sheria iliyo tajwa hapo juu
Back
Top Bottom