Recent content by m4cjb

 1. M

  Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

  Mfate nyumbani kwake uwe mke wake. Uongozi wa chama unapatikana kwa kugombea,kupigiwa kura na sio kupewa
 2. M

  Kina Mdee wataadhibiwa kwa kuvuliwa vyeo tu kwenye chama, wataendelea na Ubunge wao

  Kwani umelazimishwa? Ukiwa ccm akili zinakaa matakoni
 3. M

  Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

  Upo sahihi mkuu. Nguvu ya cdm ipo kwetu wanachama na huo msimamo wa kuwafukuza ndio msimamo wetu
 4. M

  Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

  Atafukuzwa na hakuna kitu kitakachotokea zaidi ya hao wasaliti kufa kisiasa
 5. M

  CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

  Hoja sio ubunge kwa sababu watalindwa na hao ccm waliopanga hayo baada ya kuhujumu uchaguzi, hoja hapa ni kulinda katiba ya chama. Chama lazima kiwafukuze ili liwe onyo kwa mpuuzi yeyote anayedhani yeye ni mkubwa kuliko chama. Aliondoka Slaa na Zitto sembuse hawa wapuuzi tu?
 6. M

  Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

  Kwani kuongea na waandishi inamsaidia nini asifukuzwe?
 7. M

  Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

  Yaani CDM ife kwa sababu ya Mdee na wenzake? Haupo serious. Aliondoka Zitto,Slaa, Warid Kaborou na hao lowasa na Sumaye sembuse hao tu?
 8. M

  Niwaombe Watanzania "yeyote anayepita jamii za kimataifa kutuombea njaa" tumuone ni mhaini

  Eti uchaguzi ulikuwa huru na Haki! Pambafu
 9. M

  Prof. Kabudi kama huwezi kujibu hoja, kaa kimya

  Sasa hapo umejibu hoja? Ushabiki unawafanya muonekane wapumbavu
Top Bottom