Recent content by m2poa_

  1. M

    To you Tz Developers

    Hi, mkuu naomba tuwasiliane nilitaka kukutumia sms (pm) bt iz not working. We need to talk. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Tetesi: Je, Bati za Msouth zina Changamoto ya Kuvuja?

    kama mdau alivosema ni ubovu wa fundi, hizo bati zinajengea magodown na project nyingi tu. shidah ni fundi coz iyo tred ya msumari z like kama nati inashika kweli nahairuhusu maji. kuoza kwa kipira sijawahi sikia. utafiti ulifanyika ndo mana hiyo misumari ni special kwa bati hizo. Sent...
  3. M

    Tetesi: Je, Bati za Msouth zina Changamoto ya Kuvuja?

    misumari yake special hiyo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Tetesi: Je, Bati za Msouth zina Changamoto ya Kuvuja?

    Nina uzoefu nahii kitu mkuu, hizo bati zinamisumari yake special yakupigia so kama mtu kapiga na misumari tofauti ndo adha yakuvuja hutokea. misumari yake huwa ya tred na kipira, hivyo huzuia kuvuja kwa bati. kama utakuwa na uhitaji wa bati hizo na misumari hiyo waweza nicheki nikuunganishe...
  5. M

    To you Tz Developers

    hiyo option ya A.I nadhani ndo best zaidi...je ku implement haitochukua mda zaidi , tofauti na words match? ...>>kingine tutoe mda kwa wasio pitia uzi huu waje..na atakae onyesha interest basi atajumuika otherwise hakuna interest ya wengine kujitokeza....tuta tafta other means hata sponsors...
  6. M

    To you Tz Developers

    kwa faida ya wengi ungefafanua how > neural networks works tofauti na words match.... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    To you Tz Developers

    Yeah thats gud, nimeona wengi wakitumia words match ila hii yakwako ya neural networks nikitu kizuri zaidi. nahisi ungefafanua kidogo ....maaana mostly words match ndo inatumika japo words match nayo ina leta utata kidogo kwa mfano neno asset linaweza be filtered kisa tu hizo herufi tatu za...
  8. M

    To you Tz Developers

    mkuu nikupongeze kwa kuona hii ki2 ni useful....bahati mbaya sana mm sio pure programmer ..niligusa izo mambo kidogo (kama coarse tu) enzi nasoma. bt worry not nina best yangu ni real programmer na hata Github ana projects kama3,nitamgusia aongeze nguvu bt naomba wengine wajitokeze..hapa hapa...
  9. M

    To you Tz Developers

    hope ni simple project...wale wanaoleta mafundisho ya tutorials humu wafanye kitu......za lugha ya engl, italia and other zipo nyingi so is our turn....hata JAMIIFORUM wataitumia ikionekana useful Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    To you Tz Developers

    uwepo wahiyo library..naikawa inajitosheleza...hata social networks sites wataitumia... nahawa jamaa zetu wakutukana matusi mtandandaoni...tutawapunguzia kwenda jela...na viongozi watakuwa salama na tutaishi kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    To you Tz Developers

    Wadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language. kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha yetu mama...nitafurahi nikiiona iyo kitu Github...and ready to contribute ku list words kwenye iyo...
  12. M

    Bonge la series, kama unapenda chakula ya macho apa ndo pahala

    Best action series, wajanja watanielewa, hapo ni kazi kazi mwanzo mwisho. 1. The last ship 2. Strike back 3. Brave team 4 American Odyssey 5. Prison break Akili nyingi sana hizi series, kama hujaona The last ship umepitwa sana 5. 5.
  13. M

    Naomba ufafanuzi wa technology ya Feedly

    jst updates
  14. M

    Huduma ya internet Dunia nzima

    Wadau napenda kufahamu hivi makampuni ya nje kwa nini yasiuze internet hapa bongo?? nini kikwazo?? nakitaalamu limekaaje hili maana internet nibiashara kubwa kama ni possible kufanyika. natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom