Sasa unaleta ilani ya CCM 2025-2030 kama msingi wa maridhiano? Ilani ya chama kilichopata “ushindi” baada ya kuua, kuteka na kufunga wapinzani? Hiyo ilani haina uzito wowote kimaadili wala kisheria kwa sababu serikali inayotaka kuitekeleza imepoteza uhalali mbele ya wananchi wake wenyewe na...
Maridhiano ya kweli yalipaswa kufanyika kabla ya uchaguzi wa kiini macho wa Oktoba 2025. Lakini kwa sababu walikaza fuvu, walitawala kimabavu baada ya kuua, kuteka na kubambikia raia kesi za uongo, sasa maridhiano yenye dhamira njema lazima yaanze na uwajibikaji kwanza.
1. Uchunguzi huru (pigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.