Recent content by m.Iddy

  1. M

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Anaogopa mawaziri wata TOROKA UJE hivyo kumwongozea kura Rais Lowassa dawa ni kuwabana na waoga kuachia hundi zao dawa ni kusubiria tu!
  2. M

    Mgombea urais TLP: CCM huu mwaka ni lazima itoke

    inamaana ndo mabango ya magufuli kuweka mwenge kwenye herufi M badala ya jembe na nyundo ni ushetani?!
  3. M

    Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    jamani kama hujui lugha andika tu kiswahili,wewe na mgombea wenu wote lugha mufilisi msidakie lugha kama hamzijui mtachekwa au waraka wako ukaukuta kwenye makumbusho ya taifa kwa kuharibu lugha,bahati yako kifimbo cheza wa kiingereza hayupo,ungechezea mijeledi weye!
  4. M

    BASATA na adhabu ya Shilole

    pamba!!full
  5. M

    Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    safi sana! tuko kwenye utandawazi.dunia imekuwa kijiji kimoja sms,fax,email au bado anaota simu na barua mpaka ipitie kwa opareta kwa booking ..Kalaghabaho weye! subiri uone nchi inavyochukuliwa asubuhi na Rais msubiria kuapishwa Mh.E.L
  6. M

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    According to Former DC of Kwimba Mwanza Mwl kezerahabi of Taqwa high school.{2000},POLITICS IS WHO GET WHAT AND WHEN.
  7. M

    Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    ukweli kabisa hata wazazi wetu walikatwa mishahara yao na nguvu kazi walijitolea kwa maslahi ya taifa sio chama..Asisahau hata viwanja vya wazi vinatumiwa na ofisi za mashina na matawi kuweka vitega uchumi vyao ,magereji bubu na sehemu za kulaza magari,halafu tunalalamika tuna timu ya taifa...
Back
Top Bottom