JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Love's diary
UK6.... Walimuliza ni kp kilichomkuta mpaka kikamsababishia yeye kutokwa na machozi? Michael hakujibu chochote, bali aliendelea kuwaza. Hofu yao ilikuwa kwamba, endapo watamuacha aendelee kuwaza basi anaweza kuchanganyikiwa na kuwa kichaa. Walimchukua na kumpeleka ndan. Michael aliketi kwenye...