Recent content by lyimo Reginald

  1. L

    JamiiForums Tanzania Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

    Maembe Ni chakula au Ni matunda? Umechemsha. Nadhani tuache Siasa kwenye maisha ya watu, ukweli unabaki pale pale kuwa kuna njaa. Kauli eti bei ya chakula imepanda kwa sababu chakula kinanunuliwa na nchi jirani si ya kweli kwani mahindi yanatoka Uganda kupitia Kenya na kuuzwa Rombo.
Back
Top Bottom