Recent content by Lyimo Engelbert

  1. L

    Samweli Sitta ni Mgonjwa

    Pole kwa kuugua mzee Sitta. Pili ninamwomba Mungu akupe Afya na maisha marefu hadi ushuhudie ukombozi wa Tanzania kwa kupata katiba ya wananchi ambayo wewe uliipinga kwa nguvu zote isiwepo. Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  2. L

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Hoja yako ni dhaifu wala sioni kama ipo haja ya watu wazima wenye akili pevu wana haja kuijadili. Watakaoijadili ni wale wenye akili changa. Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  3. L

    Ushauri: Jinsi ya kunywa maji

    Jambo jema kunywa maji mengi kwa afya angalau lita tatu kwa siku. Hakuna madhara.
Back
Top Bottom