Binafsi nashangazwa sana na mbio za serikali kujiunga na jumuia hii ya Afrika Mashariki mbaya zaidi ni kuwakubalia Rwanda na Burundi nchi zilizojaa kivuli na harufu ya machafuko yaliyotokea miaka michache iliyopita, ninashangaa kweli na siamini kuwa kiongozi makini anaweza kuwa na maamuzi puuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.