Recent content by LyandeLyaWhaloha

  1. L

    Watu wenye Uwezo mdogo kifikra, huwa wanawezaje kupanda mpaka kupata Mamlaka ya makubwa sana ya kufanya Maamuzi

    Uwezo mdogo ni pamoja na kutokujali lolote ili mradi kupata unachokitaka.
  2. L

    Evarist Chahali: Kuna kiongozi wa nchi jirani ana "compromising information" kuhusu kiongozi mmoja "Mkubwa"

    Mkuu nakuheshimu sana. Hebu puuza tu huyo mwanachama anayesubili kwenda chuo kidogo.
  3. L

    Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Unaweza kuata ni mwandishi mwandamizi katika tasnia ya habari nchi hii. Kazi kweli kweli!
  4. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    Hukumbuki Songwe International Airport na lami pamoja na umeme kwenye migomba ya Rombo, Marangu, Mwanga, Same, Old Moshi na Kilimanjaro nzima?
  5. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Wewe ni Mhenga mwenzagu wala usishangae kubatizwa tena.
  6. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    You love Samia Samia loves CCM Then, You love CCM
  7. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    Buku 7 ya nini tena?
  8. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    Jibu hoja kiongozi? Mbona unaamini katika bangi kama rafiki yako hapo juu?
  9. L

    Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

    Kulingana na muonekano wa kampeni za Kinondoni, CCM inaonekana kushinda nafasi ya ubunge kwa kura nyingi. Hii ni kutokana na jinsi hiki chama kilivyojipanga kwa ajili ya kampeni ambazo zinahudhuriwa na vigogo wa chama na serikali. Pia, kampeni hizi zinafanywa na wanachama karibia wote kwa...
Back
Top Bottom