Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

Feb 13, 2018
12
6
Kulingana na muonekano wa kampeni za Kinondoni, CCM inaonekana kushinda nafasi ya ubunge kwa kura nyingi. Hii ni kutokana na jinsi hiki chama kilivyojipanga kwa ajili ya kampeni ambazo zinahudhuriwa na vigogo wa chama na serikali. Pia, kampeni hizi zinafanywa na wanachama karibia wote kwa ustarabu mkubwa.
 
Sidhani hata kama utapewa hiyo buku 7 uliyoahidiwa..
Haujajitoa ufahamu vizuri kwenye kuandika..
Anza upya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom