LyandeLyaWhaloha
Member
- Feb 13, 2018
- 12
- 6
Kulingana na muonekano wa kampeni za Kinondoni, CCM inaonekana kushinda nafasi ya ubunge kwa kura nyingi. Hii ni kutokana na jinsi hiki chama kilivyojipanga kwa ajili ya kampeni ambazo zinahudhuriwa na vigogo wa chama na serikali. Pia, kampeni hizi zinafanywa na wanachama karibia wote kwa ustarabu mkubwa.