Recent content by Lyamturo jnr

  1. L

    Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu

    Kwa kukusaidia mtoa mada kama kweli umesoma utakuwa unajua kitu kinaitwa division of labour, hata ktk taasisi kubwa za kielimu mfano UDSM sio wafanyakazi wa pale wooote ni maprofesa NO. Katika majeshi yetu pia sio wooote hawana elimu ya kutosha kama unavyodhani (Hapa nazungumzia elimu iliyopo...
  2. L

    Ukiwaondoa Viongozi, Ni kwa nini washabiki wengi wa Ccm ni watu Maskini?.

    Watanzania bado tunahitaji ukombozi wa kifikra kwani ukombozi wa mtu huanzia kwake mwenyewe! Bila kuwa na upendeleo wowote bado watanzania tuna safari ndefu kuelekea ukombozi kwani watawala waliopo madarakani ni watu wanaojali matumbo yao tu! Na hao wanaogombea kutaka utawala ndio balaa zaidi...
  3. L

    Je ni haki wanajeshi kuwaendesha wakubwa wizarani?

    Tatizo letu wabongo ni kuwa wajuaji wa kila kitu, muuliza swali umeuliza ktk forum ambayo hautapata majibu sahihi! Nakushauri nenda makao makuu ya jeshi pale upanga utaeleweshwa vzr sana.
Back
Top Bottom