Recent content by lyamosa

  1. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo muheza-Tanga nije Tanga jiji, Morogoro au Kibaha. Idara sekondari
  2. lyamosa

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa Tundu Lissu CHADEMA hawa hapa, watamkwamisha kuwa kinara wa chama!

    Kaka unasema ' chadema bado changa tena unacctiza changa sanaaa' uchanga uo ni upi unaoumaanisha!?? Chama ambacho kina zaid ya miaka 20 unasema kichanga, chama ambacho kutoka mbunge 1 hadi zaid ya 50 unaita kuchanga!? Chama ambacho tunakiita nd chama kikuu cha upinzani, chama ambacho kinatoa...
  3. lyamosa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mtunzi Katiba ya kidikteta CHADEMA aliyegeuka mwigizaji filamu wa kudai ‘’Demokrasia’’

    Hoja cyo Tundu Lissu ni nan!? Hoja Tundu Lissu anasema nin....je kina mashiko na Ithibati, ukweli unabaki 'UKWELI' haijalishi nan kausema awe rais, awe budha, awe mpinga kristo at ukiwa ww 'Wakudadavua' hatupaswi kuangalia 'wakudadavua' anatoka itikadi au chama gan!? Ni bahati mbaya sana...
  4. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    At moro naenda aliye tayr aje Muheza! Idara sekondar
  5. lyamosa

    JamiiForums Tanzania Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    Critical Thinking and Argumentation[emoji115]recommended Short Course for you.....!! You should probably address the arguments instead of attacking the person.
  6. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Bt ukihama mkoani nd mpk TAMISEMI
  7. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Uhamisho wa wilayan mf kutoka tanga muheza kwenda jiji ni muda wowote cyo mpk july na december
  8. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Inategemea ndgu
  9. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Muheza nije mikoa ifuatayo; 1.Tanga jiji 2.Morogoro Mjini(Manispaa) 3.Moshi Tuwasiliane 0621021302. Idara Elimu sekondari
  10. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Muheza idara ya Elimu sekondari mwl yeyote aliye tayar aje Muheza mm niende Tanga jiji!! Tuwasiliane kwa namba 0621 021302
  11. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kaka Tanga jiji nataka! Lushoto hapana boc
  12. lyamosa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Muheza nije Tanga jiji! Idara ya Elimu sekondari 0621 021302 aliye tayr anichek
Back
Top Bottom