Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida, nimebadili spark plug, fuel pump na petrol filter pasipo mafanikio.. Naomba ushauri nipate pa kuanzia. Gari ni Suzuki Escudo old model.
Wadau nina gari aina ya Suzuki Escudo, tulibadilisha slinder head gasket baada ya gari kugoma kuwaka na kuchanganya maji.
Sasa injini haizunguki kabisa ijapokuwa mwanzoni iliwaka kwa kumiss sana.
Maoni yenu wadau.
Gari yangu haitulii barabarani hasa inapofika spidi 40 kwenye lami,na 60 kwenye changarawe,while allignment nimefanya,upepo huwa napima mara Kwa mara.Ushauri wenu tafadhali.Ni Suzuki old model.
Gari haina misfire,engine inavuta
Vizuri,TATIZO utumiaji wake wa mafuta upo juu Sana yaani km 5 per litre.Mafundi wananiambia tatizo Ni control box.Je wapo sawa.Ni Suzuki escudo old model CC 1590.
Wadau poleni na majukumu.Nina Suzuki Escudo Cc 1590.Matatizo ya gari hii yananichanganya Sana.Kwanza gari inachemsha Sana,Haina nguvu na Sasa inakula mafuta balaa Lita moja kwa km 2.
Pia Sasa imeanza mchezo wa kupasua pipe ya return Cha ajabu hata ukiwasha na kubaki silence tatizo bado...
Nimetest spark plag mbili kwenye gari hazichomi,nikatest na nozeli mbili za plag hizo hazifanyi kazi pia.Swali he hii linaweza kuwa tatizo la ulaji wa mafuta kiongozi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.