Recent content by Lyambalyetu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya Tanzania ni vigumu sana kuajirika akipoteza kazi

    Hivi Sabaya kapata kweli?
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu kijijini kwetu ni kama marehemu Muamari Ghadafi wa Libya! Harusi saba kazilipia gharama 100%

    Jumapili iliyopita nikiwa kijiji kinaitwa Mkulu nikitoka kufuatilia mahindi ya kununua ili nisafirishe kwa wenye njaa nami nipate mahela, nikauliza na boda boda aliyenipakia, why mie sijaenda kwenye sherehe kule kijijini kwa mjombangu aliyenikuza, yaani Makunda. Sikuwa na jibu sababu ukweli...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi akina Mzee Chenge mbona wapo kimya hivi?

    Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Hoja yake ikakataliwa!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Kwani ukarabati huo ni initiative yake basi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Asee! Kumbe ni ndani ya NEC - status ikoje sasa?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Mayu kwa kikwetu (Kinyiramba) ni "Rafiki"
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana! Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu usitoe hela kuhakikisha hao madiwani wanarudi,. Hiyo sio timu itakayokufikisha...
Back
Top Bottom