Recent content by LWENYI

  1. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Angalau kitima hawezi bishana na lofa kama wewe 😃
  2. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Kikwete anahudhuria uzinduzi wa majengo ya Serikali kama NANI?

    Kama bosi wa bimsumi
  3. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Yaani wewe masikini wa kutupwa bando lenyewe la kupewa uje utukane watu mtandaoni ndo umejiona umeleta hoja hapa jukwaani? Mungu akupe ufunuo la ukapimwe afya ya akili
  4. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Jamani nini kilimpata Tulia kuachia uspika

    Walipobaki wenyewe bungeni walidhani wako salama kumbe simba hali majani
  5. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Tundu Lissu amefungwa Jela, Lakini Je kafungwa kwa kosa gani?

    Hivi nasikia anaitwa bi msumi hilo jina maana yake nini?
  6. LWENYI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Vurugu za Oktoba 29 zilipangwa ili kuharibu uchaguzi. Hakuna katiba inayopatikana kwa miezi sita

    Ni dharau kwa sisi wana daresalama kuzungumza huo uharo wake hapa, he better shut up.
  7. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    Na asijaribu kufungua domo lake
  8. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Katoliki haina malofa na misukule ukiona huwaelewi nenda ukafufuliwe huko kwa mwamposa unakosema
  9. LWENYI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makonda: Watanzania kutoa milioni 100 kwa kila goli la Stars AFCON

  10. LWENYI

    JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Awamu hii buku 7 ni za moto sanaa 🤣🤣🔥🔥
  11. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

    Mdini ni wewe inayewaza dini anaposemwa mtu na matendo yake.
  12. LWENYI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Lofa mkubwa wewe 😃
  13. LWENYI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

    Mambo ya kupaka wanja nguruwe yanaendelea, wanataka wabadili jina la Police force kwenda police service halafu waje waseme tumefanya reforms kwenye jeshi la police kama walivyobadili jina la Tume ya uchaguzi na kuongeza neno huru wakasema wamefanya reforms. Huu utawala haukuchaguliwa na...
  14. LWENYI

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wakesha na Kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais Samia huku Amani na Utulivu Vikitamalaki Nchini kote

    kuna uhuru wa maoni lakini huyu kenge kazidi kwa propaganda.
Back
Top Bottom