Recent content by Lwagaze

  1. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Pole sana Tanganyika

    Kweli mwana Nyerere alikuwa msenge sana, afu wengine wanamuona shujaa
  2. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Rais Samia anachukia rushwa na ubadhirifu wa mali

    Uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongo,uongoooooooooooooooooooooooooo
  3. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Wazo zuri sana lakini je wenye mamlaka na madaraka wanayataka hayo????
  4. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Au sio kwamba wewe ni kidume cha mbegu au mlishaa tu Wanaune hawaongei taarabu ka zako babu vitendo mbele maneno baadae
  5. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Jirekodi mkuu nawe ucheze ka niffer na ombi lako litakubaliwa
  6. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

    Ile wewe sijui bro ama mzee sijui unaongea kwa kutumia kichwa gan? Cha juu ama cha chini!! Kwahiyo watu kukosoa ni kosa au kukemea utekaji na uuaji baada ya utekaji nao
  7. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Daaah nina mzukaaaaa
  8. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Tusipojitokeza kupiga kura halafu Mungu akituma malaika wakaongeza kura katika sanduku. mtaani watasema tumeiba

    Oyaa kumpata wakili ni bei gani maana nisije nikajichanganya bure 🤣🤣🤣
  9. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Singida wahamasisha maafisa usafirishaji kulinda amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu

    Wameona wapo wachache nini. Hapa ni kama wasemavyo daima mbele kurudi nyuma mwiko.
  10. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Kuna Tetemeko limepita Butiama saa 16:34. Je, ni ardhi ya Baba wa Taifa imechukia?

    Ushashiba viazi na mtindi saiv una djaba djaba tu.
  11. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Huyo aliyesema aongezewe muda ni nani nimjue!! Hao ndo wa kuwafanya mandondocha msimu wa kilimo umekaribia.
  12. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania GE2025 OCD Nyamagana awataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi

    Na wao watafanya kazi gani sasa???? Wananchi wakilinda amani
  13. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Oktoba 29; Tupeane Updates ya magari ya washawasha kwa kila Mkoa

    Hiyo siku ntajidabika mafuta meeeeengi mwili mzima ili yasiniwashe aisee
  14. Lwagaze

    JamiiForums Tanzania Kuwe na balance kwenye idara za ulinzi vya Tanzania, itapendeza kuona nusu ya idara zinaongozwa na Wabara na nusu nyingine Wazanzibari

    Daaah katika vitu ambavyo siwezi nikafanya unafiki ni kuhusu huu muungano wa kishenzi na kizandiki wakutaka usawa kwenye vitu ambavyo havina usawa Kwa akili ya kawaida kabisa inakuingia akilini eti zanzibar na tanganyika ziwe kitu kimoja? Zanzibar ana changia kiasi gani katika pato la nchi hafi...
Back
Top Bottom