Wanajamvi, kuna afisa wa ubalozi wetu huko uchina huwatumia(vijana wetu)email ya kuwataka wajiandikishe katika tovuti ya ubalozi huo,na asiyefanya hivyo akikosa mkopo asipige kelele.
Sasa wazee wenzangu,nijuzeni hii sheria mpya ya bodi ya mikopo inayoruhusu vijana wetu kukosa mkopo,kwa...