Recent content by lusohoko

  1. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

    Kimejiandaa ipasavyo kuiba maana makada wake walishasema Mungu atawasamehe baadaye
  2. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara

    Unapounga mkono udhalimu inachekesha! Vipande vya fedha vinawapeleka kuzimu vinakupeleka kuzimu. Badilika Mungu anakuona.
  3. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Unapenda vurugu eti?. Kwa hiyo unashawishi watu waandamane kisha useme mengine. Acha utumwa wa mawazo..!Waambie polisi walinde maandamano utajua watu wapo au hawapo. Ccm waoga sana.
  4. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

    Na bado waliopiga kura za maoni hawakuwa na kadi. Waliokotwa Ili wakapate mpunga toka kwa wagombea 5000 kila mtu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

    Haswa! Na hata kama hawaamini ni wezi wanaamini eti wamepata kwa uganga.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuna mtindo mpya wa kufanya matamasha kwa kutumia jina la Samia. Je, Rais Samia amebariki utaratibu huu?

    Wanamsifia Ili waendelee kula kwa urefu wa kamba. Magu alisema ukimsifiasifia umeharibu kabisa.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuna mtindo mpya wa kufanya matamasha kwa kutumia jina la Samia. Je, Rais Samia amebariki utaratibu huu?

    Wamegundua mbinu ya kula vya kipofu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

    Amani inavurugwa na CCM usitudanganye wananchi wanajua ni Lugha tu mnayotumia kila siku kila mkikosolewa mnadai amani inavurugwa mnataka muendeleze kutupiga pesa na miili yetu MUNGU ANAWAONA NA IPO SIKU ATAJIBU
  9. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

    Ni Bora iwe hivyo. Mnaonesha taswira mbaya na kujipambanua mlivyo. Wizi wizi tu la nn hadi aibu!
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwani kila mtu lazima ajibiwe? Tuwe tunaangalia hoja zenye akili za kujibu. Zenye kutanua ufahamu na kujenga taifa imara na penye Amani siyo hz pumba. Aliyeandika naamini anajitambua
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?

    Umeongea pumba. Unaona kabisa mazingira ya ccm kuharibu. Vipo viashiria zaidi ya kumi kuonesha ccm haikubaliki. Notaandika bandiko kesho kutwa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Iran zasaini hati saba za makubaliano ili kukuza Diplomasia ya Uchumi

    Uarabuni kwa mjomba
  13. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 John Mnyika: Takwimu alizotoa Waziri Mchengerwa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kura ni za uongo!

    Kwani ni uchaguzi wa vyama? Naona watu wanauliza eti ccm mara Chadema eangspi
Back
Top Bottom