Sasa mkijua ? Aliyejenga hospital ya wilaya kijijini kwake usangi badala ya Mwanga mjini mmemsahau ? Acha unyumbu, unataka raisi asafirie punda kama wenyeji wa longido au sanya ?
Walikataa kuhudhuria cku ya kuapishwa kwake. Leo ndoo wanatambua kwamba ndiye Rais ? Nani aliyewadanganya kwamba uraisi wake NI wa UBIA na UKAWA ? HAPA KAZI TU.
Wapinzani wake ? Uchaguzi umekwisha Rais aache majukumu yake eti akutane na watu walioshindwa katika Sanduku la kura na wanaotetea mafisadi. Hivi mnafikiri awamu hii ni ya kuchezea ? Hakuna muda wa kupoteza hapa kazi tu.
Kwani wananchi hatujui kwa nini sukari imeadimika mpaka tuambiwe na manyumbu ? Hamna lolote mnaishi kwa matukio hata mnachosimamia hakijulikani. Chadema hovyo kabisa.
Acha unyumbu . Mikoa gani ime endelea kuliko mingine hapa tz ? Kule kuishi Migombani kwenye umande uliokithiri na udongo wa mfinyanzi kama nyani ndoo maendeleo ? We vipi Mtaishia kufanya matambiko huko Migombani wakati Xmas kisha kuondoka na kwenda mahali panapofaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.