Hivi inakuaje pale mtu anamuaribia mwenzie kazi tena mtu ambae ana familia yake ambayo inaangaria kilekile kidogo mtu huyo anachokipata!Sasa kuna jamaa yeye zake ni kuaribu tu riziki za wenzake akati yeye ni mgeni katika kazi hizo na hajui hata anao waharibia wametoka wapi na hiyo kampuni!ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.