Recent content by LUSEKELO SERVICES LTD

  1. LUSEKELO SERVICES LTD

    JE WAJUA.,Taratibu za Uingizaji wa Bidhaa(Maduhuli) nchini Tanzania

    Maduhuli ni bidhaa na huduma zinazoingizwa nchini Tanzania kutoka nje ya nchi. Taratibu za maduhuli zinapaswa kufuatwa ili kukomboa bidhaa kutoka Forodhani/customs kulingana na Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2004. Maduhuli kuja Tanzania yanapitia hatua...
  2. LUSEKELO SERVICES LTD

    Fahamu makosa 5 yanayofanyika wakati wa kununua gari

    iyo labda umuone mgerman akutengeneze upya mzee
  3. LUSEKELO SERVICES LTD

    Fahamu makosa 5 yanayofanyika wakati wa kununua gari

    Kiongozi hakuna gari mbaya hilo lieleweke ila tatizo ni mazingira yako yakoje? ila Harrier kwa upande wa matatizo ya kiufundi azisumbui kwakweri ni gari nzuri pia ni gari ambayo aijawahi kupoteza thamani tangu itoke
  4. LUSEKELO SERVICES LTD

    Fahamu makosa 5 yanayofanyika wakati wa kununua gari

    kwa japan azipo ila tunaweza kukupatia kutoka USA Zinapatikana used
  5. LUSEKELO SERVICES LTD

    Fahamu makosa 5 yanayofanyika wakati wa kununua gari

    Siku 2 kama maandalizi yote ya utoaji mizigo bandarini yalifanyika kabla meli ijafika(Pre arrival Declaration)
  6. LUSEKELO SERVICES LTD

    Fahamu makosa 5 yanayofanyika wakati wa kununua gari

    Kumiliki gari ni kitu ambacho vijana wengi wanatamani kutokana na adha ya usafiri hasa jijini Dar es salamm ambako kuna usafiri mgumu wa kutumia daladala hivyo vijana wengi wakipata kazi inayowalipa mshahara mnono cha kwanza hufikiria kununua gari. Hivyo wakati unafikiria kununua gari fikiria...
Back
Top Bottom