Kwa hilo polisi nawapongeza maana hakuna kilichokuwa kinafanyika siku ile bhana ni kweli huduma zilisimama pale posta migration mpaka maandamano yalipo ondoka kuelekea kinondoni , haikuwa sawa kabisa una hapo chini hali ilivyokuwa
Upo sahihi kati 2, hayo makundi ni hatari sana hawafai sijui hiyo dini gani inayoamulisha kutesa na kuua watu? dini ni amani na si kama wanavyofanya hao.
Kamishina wa oparesheni wa polisi chagonja kutoa taarifa ili kuondoa upotoshaji wa taarifa kwa kile kinachofanyika huko tanga, anasema watu wanaongea tu wakati wao ndio wapo eneo la tukio hivyo atatoa facts zote za tukio hilo
Vurugu na fujo katika kudai haki havina tija katika suala zima la usalama wa watanzania. ni jukumu letu sote kuliombea taifa letu ili liendelee kudumisha amani na usalama wetu.
HIVI kuna nini au watu wamekuwa motivated na nini maana kila mwisho wa week unakutana na makundi mbalimbali ya watu wakifanya joging................. najua wengine wapo humu watueleze, sio vibaya watu kufanya mazoezi lkn natamani kujua kwanini watu amekuwa na muamko kiasi hicho?
hakuna taarifa kama hiyo, na hakuna mtu yeyeote mpaka sasa aliyethibitisha kurejeshwa kazini kwa askari hao, sio vizuri kuvumisha taarifa ambazo ni za uongo haileti maana ya kupata taarifa sahihi za matukio ya kweli. kamanda wa polisi kagera amekanusha taarifa hizo ni za uongo.
Hao bhana ni tabia zao binafsi na wala sio JESHI wanatumia uniform kuaribu sifa za askari hicho kitendo ni kinyume na maadili ya utumishi wa umma, nashauri watendewa haki zao za kimaadili
Hakuna lolote mmebanwa tu, lengo lenu lilikuwa kuandamana na kufanya migomo, yote yameshindikana Chagonja amewadhibiti, mkaja na mkakati wa kupandikiza waandishi ambao wengine hawana taaluma ya uandishi wanajulikana walisoma pale SAUT KOZI ya UALIMU sasa hivi eti nao waandishi hawajui hata...
:A S 109: hakuna cha Maandamano wala nini, mbwe mbwe zote zimewaisha mnaishia kupost picha za zamani za mikutano. chezea PT , KAMA MNAUBAVU MBONA HAMKUANDAMANA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.