Kwa hio Kwa akili yako wewe hayo ndio mafanikio. Hizi akili za maji taka hizi. Ndio maana miaka 57 ya Uhuru bado tuko hapa. Akili ndogo inaongoza akili kubwa!
Mkuu umeta picha ya Jua iliochukuliwa na satellite ha ha ha, I think kama nimemuelewa huyu jamaa alimaanisha Jua Kwa muonekano WA machoni. Hii ya satellite is even more complicated Kwa sababu inaonesha even how Sun Energies are released to the Universe!
Sent from my VIE-L09 using JamiiForums...
Sijui kama mpaka sasa hivi kuna ugunduzi wa ziada kuhusu science ya Jua na Damu. Na Kwa kweli nimeongea Kwa kifupi Sana kiasi hata siamini mtu ambae hajasoma science kabisa ataweza nielewa. Ila kama kuna Mahali umepata habari mpya juu ya hili tujuze mkuu.
Sent from my VIE-L09 using JamiiForums...
Daah ndio maana nasemaga dunia hii usiposoma science Kwanza hata Ile basic Tu ndio uendelee na maisha mengine mpaka unakufa hata ukiambiwa kuwa maji yanayochemka Moshi mjini na Dar kiwango cha joto lake la kuchemkia ni tofauti kidogo unaweza bisha mpaka Yesu atakapokuja. Sasa huyu wekundu wa...
Acha ujinga na chuki binafsi. Hakuna kitu kipya chini ya jua. Vyote tufanyavo vilikuwepo na vitakuwepo. Kasome Muhubiri. Hata kuvaa Chupi na Viatu tumeiga tu wapo walianza kuzivaa miaka ya nyuma. Muhimu mkosoe mtu kwa alichokisema hoja kwa hoja otherwise funga bakuli lako tuuu!
Kuna kujiamini kijinga tu na kutojiamini kijinga pia. Mtu huna hela, kazi, unatunzwa na mkeo au unapokea misaada kila siku. Halafu unajidai eti kidume unajiamini. Si ujinga huo. Jitegemee kwanza ndio ujiamini.
Hili swali hata Mimi Hua najiuliza sana tu. Huyu mkurugenzi wa bandari mbona haguswi na madudu mengine ni yake binafsi. Wanatumbuliwa watu kwa kutokariri pesa ZA miradi yote wilayani.
Wewe nawe una uelewa mdogo sana basi. Hili suala sio la kuchepuka, ni suala la maslahi mapana ya tz. More so NCCR na CDM vyote ni vyama vya upinzani yaani UKAWA. Huwezi compare hivo vitu as if vinafanana. Fanya utafiti kwanza. Umeona wapi mwanaume anamuomba mkewe kuchepuka. But kuhama chama...
Mtoa mada acha kuishi kizamani. Kwamba anachofanya baba mwenye nyumba tena bila kumshirikisha mke basi mke lazima akitetee. Mlaumu kwanza huyo fala kwa kutomshirikisha mkewe siri nzito kama hio huku akijua fika ni kiongozi wa chama.
To me Jesca is a hero and a strong woman. Mume kitu gani mtu...
Jitahidi uwe Kada wa chama kikubwa hapa nchini, unaweza pata hata ukuu wa Wilaya. Then utaelewa Kwa nini hayazimwi. Unaongelea mafuta ya V8 wakati viongozi wengine wanasafiria Air force 1 peke yake.
Najua utasema wale Wana hela ila usalama wa viongozi ni muhimu Kwa nchi zote duniani.
Je wangapi...
Jamani kubadili ndege mara 3 kwenda nchi fulani mbona Jambo la kawaida Sana, wala hakuna cha ajabu hapo. But inabidi uwe mzoefu wa safari za ndege.
Mfano Mimi nafanya kazi Saudi Arabia, maeneo yanaitwa Duba ni karibu kidogo na Jordan na Israel. Nikipanda ndege bongo naanzia Qatar, Bahrain or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.