Recent content by LUPITA

  1. L

    Mtoto kuongezeka uzito kwa haraka ni tatizo?

    Sio kawaida, sio kawaida hata kidogo na asikudanganye mtu pia usiifurahie hali hiyo. hilo ni tatizo..mtoto akifikisha miezi 3 anatakiwa awe na double weight ya ile aliyozaliwa nayo. wakwako alitakiwa awe na kilo 6 kwakua alizaliwa na3. naomba kujua apart from maziwa ya mama anakula nn kingine...
  2. L

    Naomba kujuzwa

    Hakuna muda maalumu. wapo watu wanasema miezi 6 lakini mimi nakushauri uanze as soon as possible, ukijigundua tu mjamzito anza clinik kwasababu hakuna unacholoose ukianza. kama kuna tatizo litagundulika mapema na kufanyiwa uvumbuzi, hii itakuweka wewe katika nafasi nzuri za kujIfungua mtoto...
  3. L

    Nini chanzo cha vipele au vinyama vyeusi usoni?

    Hata mimi nilikua navyo hivo vinyama juu kidogo ya mashavu yani chini kidogo ya macho hii inatokana na kuwa too soft, bila shaka usoni upo soft sana, mimi nimlaini sana uso wangu unatereza kabisa nikaambiwaga nijisugue na apricot. nilishauriwa na daktari wa ngozi. Nikawa napaka apricot naanza...
  4. L

    Nimestaajabu ushauri wa dakitari

    Jamani msimuhukumu huyu dada, kwakua hakuna mkamilifu mbele za haki, yaliyotokea yameshatokea kilichabaki ni kuangalia mbele. kijiti sio kipaya japokua kuna side effects zake. kuna njia nyingi za uzazi wa mpango, moja ikishindwa unashauriwa kujaribu ingine. kuna case kama hiyo kwa co-worker...
  5. L

    Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    siumwi kiongozi, mi nimwembamba tangu utotoni, sasa nimekua naitaji mwili uongezeke, we nishauri tu nini nile kaka....
  6. L

    Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
Back
Top Bottom